Awali ya yote tunapenda kuwashukuru wote mliowasilisha maombi ya ruzuku kwetu kwa mwaka 2020.Tunafurahishwa na idadi ya waombaji wa ruzuku inayoendelea kuongezeka mwaka hadi mwaka
Pamoja means ‘together’ in Swahili, this project is designed to enhance collaboration & collective social action across the women's movement and strengthening women's rights organizations.